Anauza nani? Wapi?
Used au mpya.
Hiyo bei ni takribani mwaka mmoja hadi miwili back.
Mkuu siku hizi smart phone zimeshuka sana bei. hata wenye maduka ya simu wanawapa watu wanatembeza mitaani kama chinga kwa bei ya kutupa. So kama ni wewe ndio unauza hiyo mini galaxy, think about your price.