Samsung Galaxy Mini S5570 inauzwa kwa bei ya bure kabisa

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Hapo juu.

Simu hiyo inauzwa kwa Tshs.100,000/- Ina ina miezi miwili toka inunuliwe.

tuwasiliane kwa PM.

Karibu sana.
 
hyo bei sio sawa na bure.
ni bei ya dukani kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…