Habari wana JF.
Simu aina ya Samsung Galaxy Note 3 (Clone/Copy) yenye sifa zifuatazo inauzwa.
Internal memory16gb,
Ram 3gb
Camera ya nyuma13mp
Camera ya mbele 2mp
Rangi Nyeupe.
NB: Simu ipo katika hali nzuri kabisa na haina tatizo lolote.
Bei ni Tsh 250,000.
Napatikana kupitia 0763 55 36 58 & 0713 10 69 48.
Clone ni nini? Ina mapungufu gani mpaka iuzwe that much cheap
sijui nikueleze vp ila kwa lugha nyepesi sio original
sijui nikueleze vp ila kwa lugha nyepesi sio original