Aisee kiongozi issui ya charge ni janga la kitaifa kwanza linachangiwa na network unstable (especialy internet) ukiweka off internet charge inakaa muda mrefu, lakini 99% ya smartphone zote charge ni issue otherwise kama unataka simu ya kukaa na charge siku saba inabidi urudi kwenye simu za tochi uachane na smartphone. Kama unailaumu Samsung Galaxy S2, utaziweza HTC, iphone na Blackberry ambazo ni smartphone, charge hazikai kwa sababu ya application kuwa nyingi sana!S2 bwana tatizo battery
Haziweki charger in long run!!
Tena ukiwa ume set vibration ON! Babaa tembea na chaja apo
S2 bwana tatizo battery
Haziweki charger in long run!!
Tena ukiwa ume set vibration ON! Babaa tembea na chaja apo
Halafu baada ya muda kidogo charging system inakufa. Sio kwangu tu na wengine wanapata hilo tatizo. Yangu naiuza hata kwa laki 3!
YAANI kama ulikuwa kichwani mwangu, mi nimenunua last week simu haikai na charge hivi ni kwanini? ni galaxy zote ama ni vipi, ningejua ningefanya research kwanza afadhali blackberry mhh