Samsung Galaxy s21 Ultra wanauzaje?

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,636
Reaction score
2,053
Habari wana Jf, nilikuwa nna mpango wa kununua simu hii ya Samsung galaxy s21 Ultra 128 Gb storage yake... bei zake zinanichanganya kuna jamaa anaduka lake Kkoo hapa jengo la Infinix anauza millions 1.7 na simu hiyo hiyo nimezunguka maduka ya Mlimani imakwenda hadi 2.5 millions.

Hizi tofauti za bei ndio zinanichanganya maana range of difference ni kubwa sana. Wajuzi naombeni mnitowe tongo tongo jamani

Chief-Mkwawa
 
Wapigaji wengi sikuhizi hasa kwenye simu. Kila mtu anauza bei yake. Ila s21 ultra saivi ni less than two million mzee. Mlimani city wanaenda wakishua wasiojua kuzurura mtaani kuulizia bei.
Naogopa nisije inunua ya 1.7 millions kumbe ni used au refurbished
 
unaogopa kivuli.

21ultra mpya unaipata wapi mwaka 2022???
cha muhimu angalia kwa umakini duka unalonunua,hakikisha zipo nyingi,ili hiyo moja ikizingua upewe nyingine.
Unamaanisha kuwa kwa sasa hivi Samsung hawazalishi tena galaxy s21 ultra? Sidhani kama upo sahihi
 
hilo ndio jibu sahihi ndugu yangu.

simu husika za mwaka husika hutengenezwa mwaka husika.

S21 yoyote unayoiona leo,ilitengengenezwa 2021 ikawa stoke mpaka imekufikia au ilirudi kiwandani kufanyiwa marekebisho yaani refub.
 
Navyoelewa inategemea na toleo, kama ni ya mwaka jana unawezakuta bado production ya aina husika inaendelea.Sidhani kama S21 zilizalishwa za kuwatosha wote na kuuzwa kwa wahitaji wote duniani mpaka useme zimesitishwa..simu kurudishwa kiwandani kwa marekebisho haiwezi kuja kama mpya labda tu kibongobongo wafanyabiashara wengi wananunua simu za mafungu ambazo ni refurb, second hand n.k kisha wanatupiga kuwa ni mpya.
 
Utaijuaje simu kama ni mpya au ni Refurbished haswq kama Samsung?
 
Hii ni tofauti na simu anayoiulizia mtoa mada?
Je picha alizo weka ndio za 21ultra?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…