Samsung Galaxy S22 Ultra inasemekana kuja kua na picha nzuri kuliko S21 Ultra

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
GsmArena wamasema wamepata taarifa kwamba kampuni ya Samsung inayotarajiwa kuachia simu yake ya mwaka ama Flagship Phone ya S22 Ultra ambayo inatarajiwa kua na picha kali zaidi kuliko S21 Ultra ya mwaka huu.

Binafsi nasubiri S22 Ultra ikiwa kweli ina picha kali nafanya trade off faster na hii S21 Ultra.

Samsung vitu vyao ni vya uhakika.
 
Ni sahihi ila tek iko mbele ya mda wetu watumiaji ,imagine simu kama hio s21 hata update 4za androidi huenda haizipati uko nayo mwakani tena ubadili uende 22? iOS na update support yao ya takriban miaka mitano walicheza sana .
 
Turning all world dwellers cameramen the year 2049

unnamed.jpg
 
Ni sahihi ila tek iko mbele ya mda wetu watumiaji ,imagine simu kama hio s21 hata update 4za androidi huenda haizipati uko nayo mwakani tena ubadili uende 22? iOS na update support yao ya takriban miaka mitano walicheza sana .
Samsung wanatoa Update 4, mfano S10 ilitoka 2019 na Android 9, mwaka huo huo ikaenda 10, mwaka jana ikapata 11 na mwaka huu imepata 12 labda na mwakani itapata ya 5 Andorid 13.

Wewe ulitaka zipate update ngapi?

S21 imetoka na Android 11, mwaka huu imepata 12, mwakani itapata 13 na mwaka 2023 itapata 14 na 2024 itapata 15.

Halafu watu wengine hatuangalii updates, hazina maana, tunaangalia hardware. Hicho ndio kitu cha maana. Ndio maama watu wengine wanatumia Huawei ambazo hazina Google updates ila wanafurahia hardware ya Huawei.

Wewe unanunua simu kwa sababu ya updates za software?
 
Samsung wanatoa Update 4, mfano S10 ilitoka 2019 na Android 9, mwaka huo huo ikaenda 10, mwaka jana ikapata 11 na mwaka huu imepata 12 labda na mwakani itapata ya 5 Andorid 13...
Nimekupata nilidhani 3,hizo nne ni tosha mno ,though android n pana pia unaweza pita mlango wowote kupitia custom roms ,third part apps na etc
 
Samsung wanatoa Update 4, mfano S10 ilitoka 2019 na Android 9, mwaka huo huo ikaenda 10, mwaka jana ikapata 11 na mwaka huu imepata 12 labda na mwakani itapata ya 5 Andorid 13.

Wewe ulitaka zipate update ngapi?

S21 imetoka na Android 11, mwaka huu imepata 12, mwakani itapata 13 na mwaka 2023 itapata 14 na 2024 itapata 15.

Halafu watu wengine hatuangalii updates, hazina maana, tunaangalia hardware. Hicho ndio kitu cha maana. Ndio maama watu wengine wanatumia Huawei ambazo hazina Google updates ila wanafurahia hardware ya Huawei.

Wewe unanunua simu kwa sababu ya updates za software?
Hiyo miaka 4 ni ya security patches android major updates ni 3 tu ilianzia android 9 itaishia 12.
 
Back
Top Bottom