The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Na mm nilikua niulize swal kama hiliKwa hiyo kwenye simu kilichobaki ni maboresho ya kamera tu.
Samsung wanatoa Update 4, mfano S10 ilitoka 2019 na Android 9, mwaka huo huo ikaenda 10, mwaka jana ikapata 11 na mwaka huu imepata 12 labda na mwakani itapata ya 5 Andorid 13.Ni sahihi ila tek iko mbele ya mda wetu watumiaji ,imagine simu kama hio s21 hata update 4za androidi huenda haizipati uko nayo mwakani tena ubadili uende 22? iOS na update support yao ya takriban miaka mitano walicheza sana .
Nimekupata nilidhani 3,hizo nne ni tosha mno ,though android n pana pia unaweza pita mlango wowote kupitia custom roms ,third part apps na etcSamsung wanatoa Update 4, mfano S10 ilitoka 2019 na Android 9, mwaka huo huo ikaenda 10, mwaka jana ikapata 11 na mwaka huu imepata 12 labda na mwakani itapata ya 5 Andorid 13...
Hiyo miaka 4 ni ya security patches android major updates ni 3 tu ilianzia android 9 itaishia 12.Samsung wanatoa Update 4, mfano S10 ilitoka 2019 na Android 9, mwaka huo huo ikaenda 10, mwaka jana ikapata 11 na mwaka huu imepata 12 labda na mwakani itapata ya 5 Andorid 13.
Wewe ulitaka zipate update ngapi?
S21 imetoka na Android 11, mwaka huu imepata 12, mwakani itapata 13 na mwaka 2023 itapata 14 na 2024 itapata 15.
Halafu watu wengine hatuangalii updates, hazina maana, tunaangalia hardware. Hicho ndio kitu cha maana. Ndio maama watu wengine wanatumia Huawei ambazo hazina Google updates ila wanafurahia hardware ya Huawei.
Wewe unanunua simu kwa sababu ya updates za software?
S22 pia inakuja na Gpu za Amd kama wewe unacheza games kwenye simu.Kwa hiyo kwenye simu kilichobaki ni maboresho ya kamera tu.
Hiyo miaka 4 ni ya security patches android major updates ni 3 tu ilianzia android 9 itaishia 12.