Display Screen: 5.0 inch FULL HD Display screen
with 1920×1080 pixels screen resolution
Processor: Media Tek MTK6589 Quad Core
1.2GHz
Operating System: Android Jelly Bean OS version
4.2.1
Memory: 1GB RAM, 8GB of ROM which can be
expanded up to 64GB with TF card slot
Camera: 18.0 MP back with LED Flash and
Autofocus, 5.0 MP Front facing
3G: Yes
DUAL SIM: Yes
Battery Capacity: 2,500 mAh Li-ion Battery
huwez jua zinaweza kuwepo ila sio promise
Join Date : 25th May 2011
Posts : 4,816
Rep Power : 11392
Likes Received1590
Likes Given0
likes given 0
utakuwa na ka ubinafsi yani hujawahi furahishwa na mchango wa member yeyote humu jf toka ujiunge mwaka 2011 !!
Wewe ndio mimi mkuu. Roho imeniuma nilipoliona tangazo hafu ukichukulia muuzaji uhakika. Dah.
Mkuu ukaaji wake na chaji ukoje?Hahaha, kawaida kaka wala haujashikwa! Hizi clone high quality wakati zinaingia zilikuwa laki 6!!! Jamaa mmoja huwa anaenda Korea alininyima kwa laki 5 cash, nikaja kuikamata kwa laki250 brand new, sikukaa nayo hata mwezi nikabadlishana na mtu akanipa iPhone 5 nikamwongezea laki 2!!
kaka hii yangu kioo ni qhd sio full hd kama hio na pia sio dual sim ina line moja vile vidogo vya kukata (mini sim) pia ina processor ya dual core na si quadcore.
vitu vyote nimehakikisha na software maalum na kama mtu atahitaji tutafanya analysis upya.
clone yenye full hd na processor ya octacore inauzwa si chini ya laki 5 huko china mpaka ikija hapa ni laki 6
HAHAHHAHAH... NGOJA NIMTETEE,JAMAA NILISHAWAHI KUMUULIZA AKANIAMBIA ANATUMIA SIMU,NA KWENYE SIMU HUWEZI GONGA LIKES...Join Date : 25th May 2011
Posts : 4,816
Rep Power : 11392
Likes Received1590
Likes Given0
likes given 0
utakuwa na ka ubinafsi yani hujawahi furahishwa na mchango wa member yeyote humu jf toka ujiunge mwaka 2011 !!
Jana nilipita Youtube nikakuta kuna clone ya S4 ina line mbili, imekaa kichina zaidi.
HAHAHHAHAH... NGOJA NIMTETEE,JAMAA NILISHAWAHI KUMUULIZA AKANIAMBIA ANATUMIA SIMU,NA KWENYE SIMU HUWEZI GONGA LIKES...
CC:chief-mkwawa
exactly kaka sio simu tu natumia opera mini hata version ya touch siwez tumia vizuri
kila mtu hutumia simu kubrowse vitu vingine pamoja na kusurf jf, kwahiyo never logg in jf kwa kutumia pc toka ajiunge jf! si kweli!!HAHAHHAHAH... NGOJA NIMTETEE,JAMAA NILISHAWAHI KUMUULIZA AKANIAMBIA ANATUMIA SIMU,NA KWENYE SIMU HUWEZI GONGA LIKES...
CC:chief-mkwawa
kila mtu hutumia simu kubrowse vitu vingine pamoja na kusurf jf, kwahiyo never logg in jf kwa kutumia pc toka ajiunge jf! si kweli!!
kila mtu hutumia simu kubrowse vitu vingine pamoja na kusurf jf, kwahiyo never logg in jf kwa kutumia pc toka ajiunge jf! si kweli!!
mkuu, naitaji huo mzigo, NIPO MWANZA, please check kama unamtu yeyote unae mwamini huku mwanza niweze fanya biashara au dereva wa bac la kuja mwanza, please mkwawa
kwa wale wanaohitaji samsung galaxy s4 clone zinapatikana kwa bei tajwa zipo kwenye box na ni mpya.
zipo rangi nyeupe na very dark blue kama nyeusi
brief specs
zinatumia mediatek 1.3ghz dual core
ram 1gb
kioo inch 5
kwenye box utakuta earphone, charger inayotumia usb cable na usb cable yenyewe.
zinatumia line 1 na line yenyewe ni ya kukata.
contact 0715696962
simu bado zipo?kaka kulogin na login ila unakuta mara 1 kwa mwezi au mwezi upite bila kulogin na nikiingia nakuta notification 1000+ inatia hata uvivu kuzifatilia.
then nina mambo mengi sana kaka ukiendekeza jf hutaishi hivyo inabidi upunguze mda wa kuspend kwa kutumia opera.
dakika 30 zinatosha kuandika na kureply jukwaa zima la tech na ukaendelea na mishe nyengine tofauti na pc ambayo ningespend masaa kibao
mzigo bado upo chief?
simu bado zipo?