INAUZWA Samsung Galaxy S5 inauzwa

INAUZWA Samsung Galaxy S5 inauzwa

Joined
Oct 22, 2017
Posts
28
Reaction score
11
Kama kchwa knavyojieleza hapo juu
Simu ina mwezi tu tangu inunuliwe
Inauzwa kwasababu maalum bei ni ya kitonga
Laki mbili tu (200000)
 
Hii ni taarifa ya habari au hadithi?maana hata matangazo ya kwenye radio huwa na namba za mawasilino.
 
8da297f4815412b1576f1e0774c75ad5.jpg
 
Ingekuwa mwisho wa mwezi ningekutafuta.
Kwasasa siwezi kusema chochote
 
Back
Top Bottom