Mzee Mwafrika
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 203
- 104
Mmh Samsung Galaxy S6 kwa Tsh elfu 60??Inafanya kazi vizuri.
Shida zake;
Mawasiliano: 0748209317.
- Kioo kina ufa kidogo.
- Camera imeingia uchafu ila inafanya kazi.
View attachment 1507488View attachment 1507489
Mmh Samsung Galaxy S6 kwa Tsh elfu 60??
Kuna walakini hapa.
Risiti unayo?Ya mwaka 2017 imezeeka na nimenunua simu mpya.
2017 risiti niitoe wapi...ila niko tayari kuandikishanaRisiti unayo?
uko wap mkuu
Sema uko wap wazee wa kitonga tupo fasta