Nimeijaribu kwenye Galaxy S21 FE kwa kweli kuna mabadiliko mengi sana.
Features nilizozipenda ni hizi kuweza kutumia one time password ukiwasha mobile hotspot maana yake hutakuwa na haja ya kumpa user password yako ya hotspot unampa password ya muda akimaliza kutumia inabadilika.
Nyingine ni kuweza kuwasha Wi-Fi na Bluetooth kama Flight mode iko on.Unaweza kuweka flight mode on simu yako ikawa haipatakini lakini Wi-Fi utaendelea kuipata kama uko eneo lenye Wi-Fi.
Features nyingine ziko kwenye hii link ya Youtube kwa maelezo zaidi.