Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Bruh kwani ukifuta picha ina enda wapiUkisha tia picha yako huko ni mali yao hata ukiifuta wenyewe watabaki nayo. The same na drop box na kwingine kote watu wanako tunzia picha zao.
Unakuwa tu unefanya isionekane kwenye device yako. Ila kama ukisha inatisha kwenye any sort of drives basi hiyo ni mali ya wamiliki wa driveBruh kwani ukifuta picha ina enda wapi
Ipo hivyo kila sehemuUnakuwa tu unefanya isionekane kwenye device yako. Ila kama ukisha inatisha kwenye any sort of drives basi hiyo ni mali ya wamiliki wa drive
The moment ukishakubali kutumia computerised devices, basi jua hapo umeshakubali kuacha data zako.Unakuwa tu unefanya isionekane kwenye device yako. Ila kama ukisha inatisha kwenye any sort of drives basi hiyo ni mali ya wamiliki wa drive
Sahihi, niliwahi kufuta picha dropbox, nikawatumia ujumbe na wakanirudishia zoote.Ukisha tia picha yako huko ni mali yao hata ukiifuta wenyewe watabaki nayo. The same na drop box na kwingine kote watu wanako tunzia picha zao.