INAUZWA Samsung J2(4G) + lain za uwakala

dreamchaser94

Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
32
Reaction score
4
1. Kwa mwenye uhitaji wa Laini za uwakala zipo

Tigo (250k) and Voda(200k)

2. Kwa anayeuza Universal Modem ya Huawei 3G or 4G,,plz njoo tufanye business

3. Samsung J2 with 4G network ipo hapa,,ila display nzima kimeo,Price 120k

Contact: 0652576717 text, call or watsapp
 
Mimi napenda kufanya hii biashara ila nilifuatilia ofisi nikapigwa kalenda miezi 2, nikaamua kusimama kwanza.
Swali langu. Kwenye kila moja ya hizo line kuna kuwa na pesa kiasi gani za kuanzia kazi?
Ahsante!
 
Inakuwa na zero unaweja wewe kulingana na mtaji wako.
Ukitaka kupata ofisin kwao in shida sana voda unaweza subir hata miez 6 ndo uipate. Nunua mtaani tu zipo nying zisizo na urasimu.
Bei zake ni 170 - 150k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…