Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 9,016 Reaction score 24,650 Feb 9, 2023 #1 Nauza simu yangu aina ya samsung jean 2, gb 32 ina hali nzuri sana, bei laki moja na nusu (150000). Nipo iringa mjini kwa ambae yupo mkoani naweza kumtumia au anaweza kuagiza mtu ambae yupo Iringa aje kuikagua halafu namkabidhi simu.
Nauza simu yangu aina ya samsung jean 2, gb 32 ina hali nzuri sana, bei laki moja na nusu (150000). Nipo iringa mjini kwa ambae yupo mkoani naweza kumtumia au anaweza kuagiza mtu ambae yupo Iringa aje kuikagua halafu namkabidhi simu.