The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Kwa ambao hatuelewi chipset, hii ndio brain ya simu. Hiki ni kifaa kinachojumuisha vifaa vyote vya simu ama vinavyofanya simu ifanye kazi kama processor (or CPU), graphics processing unit (GPU), memory controller, modem, and other controllers are built into this single chip that it the chipset.
Simu inapokua na chipset yenye nanometer (nm) chache ndio inakua bora zaidi kwa maana kwamba inakua na nguvu, kasi na imara kwenye ufanyaji kazi.
Kwa simu nyingi kubwa ama high end devices zilizotoka mwaka jana na mwaka huu zinatumia 7nm+.
Taiwanese Semiconductor Manufacturing company ama TSMC ndie kiongozi kwenye makampuni yanayotengeneza hizo chipsets na kuuzia makampuni ya simu kama Apple, Huawei, Nokia na mengine. TSMC yeye mwaka huu anatengeneza chipsets za 5nm na inatarajiwa simu zitakazotoka mwaka huu baadae zitakua na chipset ya 5nm. Samsung yeye chipsets zake anatengeneza mwenyewe na chache ananunua kutoka Qualcomm.
TSMC wao walisema wameanza mass production ya 3nm ambayo simu zitakazotoka mwaka ujao zitakua na hiyo chipset, Samsung yeye bado yuko 5nm na 4nm.
Samsung begins mass production of 5nm chipset; also developing 4nm technology - Gizmochina