samsung mini laptop solar charger au solar power kwa ajili ya laptop.

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
habari wadau,naombeni msaada kama kuna uwezekano wa kupata solar charger ya mini samsung laptop na bei yako,lakini option ya pili ni kuhusu solar power system yenye uwezo wa kuchaji laptop,simu na kuwasha walau taa mbili tu( vitu vitakavyohitajika na bei yake),natanguliza shukurani kwa ushirikiano wenu.
 
LAPTOP WATT40 NA TAA MOJA YA (ENERGY SAver),naomba msaad wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…