Samsung na iPhone nani mkali?

Samsung na iPhone nani mkali?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Salamu.

Simu zote ni nzuri ila najua kuna mahala zinazidiana ubora na gharama.Kwa ujuzi wako kati ya hizo kampuni nani bora sana?
 
Samsung wana shida sana kwenye power. Kila mahali lazima utembee na charger! Wanazidiwa hadi na Infinix una uhakika wa kutunza charge at least 24hrs!
 
Back
Top Bottom