yessss mambo ni mengi kama corona na wananchi.Laini ya simu unayotumia ina-support 4G? Na kama ina-support je, kwenye Preferred network type ume-set kwenda 4G?
Kama hayo yote umefanya na bado haikubali angalia eneo ulilopo kama linashika 4G kwenye mtandao unaotumia.
Laini ya simu unayotumia ina-support 4G? Na kama ina-support je, kwenye Preferred network type ume-set kwenda 4G?
Kama hayo yote umefanya na bado haikubali angalia eneo ulilopo kama linashika 4G kwenye mtandao unaotumia.
Hebu nenda Kweny download mode kaangalie model ya hyo note 4 ni ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nenda Kweny download mode kaangalie model ya hyo note 4 ni ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiangalia specification zake online, hiyo simu ina frequency band chache (4G-LTE) ambazo zipo 4 ambazo zinasupport 4G-LTE...so uwezekano ni mkubwa kuwa mtandao unaoutumia kwa hapa Tz haupo kwenye hizo band za frequency kusupport 4G-LTE.
Yaani hapo kuna uwezekano mkubwa wa mitandao yetu karibu yote ya hapa nchini Tz ikawa hazipo ktk band hizo za frequency za LTE.Natumia tigo na hallotel
Yaani hapo kuna uwezekano mkubwa wa mitandao yetu karibu yote ya hapa nchini Tz ikawa hazipo ktk band hizo za frequency za LTE.
Nimesearch, Tigo anatumia 800Mhz, Zantel anatumia 1800Mhz.vodacom anatumia 700mhz na 1800mhz, tigo anatumia 900mhz, halotel na airtel sifahamu, so kama specifications zake zina izo band kwa LTE basi utapata services
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesearch, Tigo anatumia 800Mhz, Zantel anatumia 1800Mhz.
Hapo kwakuwa band zako ni 700,850,1800,2100Mhz....Jaribu utumie mitandao kama Vodacom, TTCL na Zantel maana inaonesha zipo kwenye hizo band, ila kwa Airtel nayo unaweza jaribu pia.
Hapana, kuhusu suala la APN halihusiki kabisa kwenye hilo swala.Thanks much brother
Au kuna aina ya APN yake?