Samsung note 4 LTE sipati 4G

Simu yako ina 4G/ LTE?? Screen shot kitu kama icho tuone kwanza

Zala Na Nga
 
band 1800 ndio common mkuu. tigo na zantel mjini, voda, ttcl na airtel kote. umejaribu kubadili line ukaweka voda ama ttcl 4g?

TTCL nimeweka na inafanya roaming tu and niko hapa Town kabisa, hapa new Afrika hotel
 
Bosi unajua unaongea nn?
kuna jamaa hum jin silikumbuk , lakin kwenye sim yako inaez ikawa locked yan sio international may be ni kwaajil ya mitandao fulan pia hil inwezeka labda ikawa moja ya sababu kunajinsi ya ku inlock izo band
 
Ah okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…