Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Kama unatumia Samsung siku ukishika simu nyingine za Android unatamani urudi Samsung mapema sana.
Nimetumia Oxygen OS ya One Plus, Color OS ya Oppo, MIUI ya Xiaomi na nyinginezo lakini hakuna inayoifikia One UI ya Samsung kwa utamu wa mpangilio wa apps, fluidility, visual impressiveness nk.
Makampuni mengine ya Android yakachukue somo kwa Samsung.