Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Hizo ni android skin tu. Android ni ya Google mkuuKama unatumia Samsung siku ukishika simu nyingine za Android unatamani urudi Samsung mapema sana.
Nimetumia Oxygen OS ya One Plus, Color OS ya Oppo, MIUI ya Xiaomi na nyinginezo lakini hakuna inayoifikia One UI ya Samsung kwa utamu wa mpangilio wa apps, fluidility, visual impressiveness nk.
Makampuni mengine ya Android yakachukue somo kwa Samsung.
[emoji3][emoji3] material ui imekaa poa sana kwenye pixel 6 pro ila hizo skins nyingine wachina wameamua kuangalizia IOS wazi wazi hakuna ubunifu ONEui 4.0+ ni habari nyingineNdio maana hata apple huwa wanaangalia samsung kakwama wapi,ndipo wanapigia hapo.Maana hawa wengine ni kama mbuzi tu,hakuna umakini katika kazi. android 12 ukiiona jinsi inavyoonekana kwenye S22 na kwenye pix6.utahisi samsung ndio mwenye nyumba.
Hii ni habari nyingine mkuu.[emoji3][emoji3] material ui imekaa poa sana kwenye pixel 6 pro ila hizo skins nyingine wachina wameamua kuangalizia IOS wazi wazi hakuna ubunifu ONEui 4.0+ ni habari nyingine
Simu Duniani hapa anatengeneza Samsung anafuatiwa na Apple.Ndio maana hata apple huwa wanaangalia samsung kakwama wapi,ndipo wanapigia hapo.Maana hawa wengine ni kama mbuzi tu,hakuna umakini katika kazi. android 12 ukiiona jinsi inavyoonekana kwenye S22 na kwenye pix6.utahisi samsung ndio mwenye nyumba.