Mosskiss
Senior Member
- Mar 22, 2011
- 158
- 103
Samsung qled series 8 curved smart tv inch 65 ilipata hitilafu wakati inasafirishwa kutoka s.A ikatoa mstari kama inavyoonekana.. Ila unatumia fresh kabisa ina sauti hauhitaji subwoofer.. Tv ya milion 5 nauza 900,000 kwa sababu ya huo mstari.. Na hauongezeki
0744680670
0744680670