Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Iphon 7+ haifiki laki nneTuanze na bei kwanza
Ooh! kumbe[emoji56][emoji56]Iphon 7+ haifiki laki nne
Samsung S10 plain laki 6+
S10+ laki 9+
Hapo nmezungumzia mpya
Ooh! kumbe[emo
Imekuingia vizuri eehOoh! kumbe[emoji56][emoji56]
Itoshe kusema samsung n baba laoIphon 7+ haifiki laki nne
Samsung S10 plain laki 6+
S10+ laki 9+
Hapo nmezungumzia mpya
Aah santeeeAcha kufananisha S10 na vitu vya ajabu
Hapo hakuna simu mpya.Iphon 7+ haifiki laki nne
Samsung S10 plain laki 6+
S10+ laki 9+
Hapo nmezungumzia mpya
Mkuu mimi nmeshanunua refurb kadhaa, za iphone na samsung. Refurb ziko vizuri tu, labda mtu usiwe mtunzaji mzuri.Kwa usalama wa pesa zako acha kucheza kamali na hizo simu katafute simu mpya ya bei hiyo sana sana Chinese brand kina Redmi,oppo, infinix,vivo,poco utapata simu nzuri ya baridiii isiopata moto wala kuisha chaji haraka zingatia kadisplay kawe ni AMOLED
Nani alikudanganya simu zenye snapdragon zinachemka,hapa natumia s10 5g ina miezi 2 haijawahi kchemka hata mara moja.mimi siku zote nanunua simu used na hazijawahi kuniangusaKwa usalama wa pesa zako acha kucheza kamali na hizo simu katafute simu mpya ya bei hiyo sana sana Chinese brand kina Redmi,oppo, infinix,vivo,poco utapata simu nzuri ya baridiii isiopata moto wala kuisha chaji haraka zingatia kadisplay kawe ni AMOLED
Simu zinazotumia Qualcomm Snapdragon 8 Gen 1 zinaoverheat lakini sio kila simu yenye Snapdragon inaoverheat. Lakini hata simu za MediaTek nazo kuna baadhi zina shida ya overheating, mfano Xiaomi Redmi Note 10S (sio plain) inatumia chipset ya MediaTek Helio G95 na inaoverheatNani alikudanganya simu zenye snapdragon zinachemka,hapa natumia s10 5g ina miezi 2 haijawahi kchemka hata mara moja.mimi siku zote nanunua simu used na hazijawahi kuniangusa