Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Samsung Galaxy S10 Plus Battery testUpande wa utunzaji moto vipi?
Warranty ya battery huwa ni 3 years na hiyo S10 plus ina miaka mitatu tegemea kukutana na changamoto ya kuishiwa na chaji harakaSamsung Galaxy S10 Plus Battery test
Kuperuzi mitandaoni- masaa 7 na dakika 7
Kuangalia videos - Masaa 12 na dakika 1
Gaming - Masaa 3 na dakika 51
Standby - Masaa 80
Ikiwa atanunua refurbished chaji itaisha harakaWarranty ya battery huwa ni 3 years na hiyo S10 plus ina miaka mitatu tegemea kukutana na changamoto ya kuishiwa na chaji haraka
Kazi kweliMimi nilikuwa nayo hiyo Note 10+ mwaka huo wa 2006