N ngatunga123 Member Joined Mar 11, 2025 Posts 6 Reaction score 1 Mar 11, 2025 #1 nauza Simu SAMSUNG S21 + 5G RAM 8 GB STORAGE 256 BEI 500,000 MAONGEZ YAPO INA MIEZI 4 NIPO DAR HAINA KIPENGELE LABDA AJE NACHO MTEJA. MAWASILIANO 0688601539
nauza Simu SAMSUNG S21 + 5G RAM 8 GB STORAGE 256 BEI 500,000 MAONGEZ YAPO INA MIEZI 4 NIPO DAR HAINA KIPENGELE LABDA AJE NACHO MTEJA. MAWASILIANO 0688601539
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 Mar 11, 2025 #2 Yani umejiunga leo na leo leo unataka utuuzie simu
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 4,072 Reaction score 12,119 Mar 11, 2025 #3 Kalaga Baho Nongwa said: Yani umejiunga leo na leo leo unataka utuuzie simu Click to expand...
N ngatunga123 Member Joined Mar 11, 2025 Posts 6 Reaction score 1 Mar 13, 2025 Thread starter #4 Kalaga Baho Nongwa said: Yani umejiunga leo na leo leo unataka utuuzie simu Click to expand... Hapana akaunti yangu ya kwanza ilikuwa inasumbua hivyo nimefungua akaunti mpya. Lakini pia hiyo haizuii kufanya utakacho
Kalaga Baho Nongwa said: Yani umejiunga leo na leo leo unataka utuuzie simu Click to expand... Hapana akaunti yangu ya kwanza ilikuwa inasumbua hivyo nimefungua akaunti mpya. Lakini pia hiyo haizuii kufanya utakacho
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 5,710 Reaction score 8,579 Mar 13, 2025 #5 Laki 2 ipo mfuko wa shati
makutupora JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 2,089 Reaction score 4,086 Mar 13, 2025 #6 Kuna laki na ishirini na ftariii vipi?
N ngatunga123 Member Joined Mar 11, 2025 Posts 6 Reaction score 1 Mar 15, 2025 Thread starter #7 makutupora said: Kuna laki na ishirini na ftariii vipi? Click to expand... Bei hyo hapana mkuu ongeza mzigo
makutupora said: Kuna laki na ishirini na ftariii vipi? Click to expand... Bei hyo hapana mkuu ongeza mzigo