Samsung s6 edge+ inafeli ku acces internet data.

Samsung s6 edge+ inafeli ku acces internet data.

Below 40

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
884
Reaction score
1,739
Asalam wakuu natumaini wazima.
Kuna simu Samsung s6 inazingua accessibility ya internet kila nikijaribu ku surf inanambia unblock Samsung internet first hata nikitumia wi fi mziki ni uleule,naombeni ushauri kabla sija restore factory au kuiflash nifanye nini?
 
Kabla ya hapo ilikuaje?, toa maelezo ya kujitosheleza kupunguza maswali yasiyo ya lazima...

Nina shaka ni Carrier unlocked hiyoo.
 
Kabla ya hapo ilikuaje?, toa maelezo ya kujitosheleza kupunguza maswali yasiyo ya lazima...

Nina shaka ni Carrier unlocked hiyoo.
Imetokea ghafla tu baada ya ku restart simu ndio ikawa hivyo mkuu nikijaribu kuingia browser yoyote ndio inakuja hiyo notification unblock Samsung internet to access mobile data
 
Kabla ya hapo ilikuaje?, toa maelezo ya kujitosheleza kupunguza maswali yasiyo ya lazima...

Nina shaka ni Carrier unlocked hiyoo.
mkuu mimi nina kasimu haka ka samsung grand prime+ nimekachukua full box nimeoa sild mwenyewe ila nashangaa eti ipo rooted. Sasa imekuaje hapa sijaelewa
 
mkuu mimi nina kasimu haka ka samsung grand prime+ nimekachukua full box nimeoa sild mwenyewe ila nashangaa eti ipo rooted. Sasa imekuaje hapa sijaelewa
Umejuaje kama ipo rooted?
Umenunua lini?
Unajua ya kua k.koo wanaweka seal wenyewe?
 
Umejuaje kama ipo rooted?
Umenunua lini?
Unajua ya kua k.koo wanaweka seal wenyewe?
kwanza kuna app nilitaka kuitumia kwenye hiyo simu nikainstall flesh ila nilipotaka kuitumia ndo ikanambia can not run in rooted device! Nikashtuka ikabidi nikadownload cpu z ndo ikanithibitishia kabisa kwamba root access ni Yes

Nimenunua 3 weeks ago

Duhh hilo sikulijua
 
Back
Top Bottom