Imetokea ghafla tu baada ya ku restart simu ndio ikawa hivyo mkuu nikijaribu kuingia browser yoyote ndio inakuja hiyo notification unblock Samsung internet to access mobile dataKabla ya hapo ilikuaje?, toa maelezo ya kujitosheleza kupunguza maswali yasiyo ya lazima...
Nina shaka ni Carrier unlocked hiyoo.
mkuu mimi nina kasimu haka ka samsung grand prime+ nimekachukua full box nimeoa sild mwenyewe ila nashangaa eti ipo rooted. Sasa imekuaje hapa sijaelewaKabla ya hapo ilikuaje?, toa maelezo ya kujitosheleza kupunguza maswali yasiyo ya lazima...
Nina shaka ni Carrier unlocked hiyoo.
Umejuaje kama ipo rooted?mkuu mimi nina kasimu haka ka samsung grand prime+ nimekachukua full box nimeoa sild mwenyewe ila nashangaa eti ipo rooted. Sasa imekuaje hapa sijaelewa
kwanza kuna app nilitaka kuitumia kwenye hiyo simu nikainstall flesh ila nilipotaka kuitumia ndo ikanambia can not run in rooted device! Nikashtuka ikabidi nikadownload cpu z ndo ikanithibitishia kabisa kwamba root access ni YesUmejuaje kama ipo rooted?
Umenunua lini?
Unajua ya kua k.koo wanaweka seal wenyewe?