Ahsante mkuu kwa ushauriHuawei.. Hutojutia mkuu..Take that Beast...
#Muungwana_John
poa jamaa kesho nikachukue Huawei.
Iphone siku hizi zilipendwa tu, wabaki kununua wakuja.poa jamaa kesho nikachukue Huawei.
Nilikua bado na ulimbukeni wa ma Iphone [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utapata wapi HUAWEI p20 kwa laki tano? Labda kama ina tatizopoa jamaa kesho nikachukue Huawei.
Nilikua bado na ulimbukeni wa ma Iphone [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
P 20 lite sio P20Utapata wapi HUAWEI p20 kwa laki tano? Labda kama ina tatizo
Mpya bei gani
Roughly 1050,000 tshsMpya bei gani
Na hiyo S8 kioo chake tu laki saba
Hiyo iphone sawa ila hizo mbili kuwa makini na hiyo beiWajameni nna 500k nmepata offer ya simu tajwa hapo juu naomba ushauri ipi ya kuchukua for the same price yani 500k. zote used. s8 ina crack kdgo p20 lite used ila ina good condition
Sent using Jamii Forums mobile app