Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zingatia hili "Hakuna Mtu mjinga Duniani"mkuu..kwa nin umeamua kuiuza hiyo simu bei rahis kiasi hicho?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiitiwa Fursa Ujue Wewe Mwenyewe Ndiyo Fursa
Kumekucha Sasa Hivi
[emoji3][emoji16][emoji23]
Kuna mtu anaenda kulizwa hapa,
Sio kwa hii vunja Bei,
Kutoka 1.5million MPAKA laki 5 inaleta ukakasi sana,
Vinginevyo mtoa mada atueleze kwanini anauza Bei rahisi hivi
Kiambatanisho[emoji116]View attachment 1508875

Hawa tigo wanauzaga bidhaa zao ghali sana.Kuna mtu anaenda kulizwa hapa,
Sio kwa hii vunja Bei,
Kutoka 1.5million MPAKA laki 5 inaleta ukakasi sana,
Vinginevyo mtoa mada atueleze kwanini anauza Bei rahisi hivi
Kiambatanisho[emoji116]View attachment 1508875
Yaah hiyo bei ni halisi kwa s8! 1.5M saiv unaweza kupata s10+Hyo bei anayouza NI SAHIHI.
maana mpaka laki 6 unapata s8
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mkuu S8 Plain kwa bei hio ni sawaaaa kabisa,Kuna mtu anaenda kulizwa hapa,