Simu za mkononi nazipenda sana,lkn shida kipindi km hiki, Panya road waliiba simu nyingi sana,unaweza kuanza tu kuitumia kumbe ni moja wapo,huo mziki wake mpaka wagundue ilikuwa sio ya wizi kilo 5 zimekutoka...