Samsung siyo simu ya kawaida, Msiichukulie poa

Flagship ya Samsung ni Ultra's. Pia mkuu ukiachana na iphone 17, mbona flagship za iphone kuanzia ile 11 pro hadi 16 pro max zinafanana kwa nyuma, ni notch tu pekee ndo zilibadilishwa mkuu ila kwa nyuma macho matatu kule nyuma ni almost ziko sawa.
 
Gharama sio Samsung Bali Aina ya kioo unachotumia, simu za Samsung zenye LCD vioo Hadi 20,000 Kariakoo na Tecno zenye Oled vioo vinaweza kuzidi laki 2.
 
Me naonaga ukiweka protector simu linazidi uzito afu kama linakuwa baya… afu Cover naweka tu sbb simu inateleza, ilaaa ningeweza kuhimili ule mtelezo cm ingebaki zake uchi..
 
Acha kudanganya WATU A series ZOTE vipo vyake 30k
 
Natumia samsung kali tu ni flagship nzuri,samsung haina maajabu bwana mi naoona ni kama watu wanaipa sifa ambazo hazina maana.

Simu kwa android ni pixel na kwa ios ni iphone kuanzia 13 kwenda juu.
Ukiniwekea Samsung na Pixel, nitachukua pixel ,kama zote zikiwa latest. Sijali bei wala wanavyosema pixel ni niche smartphone.
Pixel design yake tu hata ukiishika unahisi umeshika simu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…