Samsung smart tv curved 55 kwa Tsh. 630,000/-

hao jamaa wapo kupatana, juz alitangaza anauza HP ELITEBOOK ya M1.2 kwa Lak 4, akamtapeli mshkaj, Mshkaj akaja kutu warn kama ni tapeli.
 
Mkuu hao jamaa wa zanzibar kuna jamaa kawalalamikia kupatana kama wanatumia picha za dukani kwake ambalo lipo k/koo wakidai lipo zenji. Hao ni wezi hivo kuwa makini. Proof katafute mwnyw kupatana matangazo ya mkoa wa dsm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nsuhakika watu wa ivyo post zao insta huwa hazina comments. Yan wanafunga comments ili watu waliowapiga wasitoe negatve comment.
 
Hivi watu uwa hamna kipawa cha kutofautisha mataperi na wasio mataperi? Haihitaji kufikiria mara mbili kuwa hao ni mataperi hata amazon au ebay hupati kwa bei hiyo ni afhadhali awe mtu ana shida anauza kuliko ukutane na mtu anadai anazo nyingi
 
Nenda physically.Kama una mtu Zenji mtume aende dukani moja kwa moja


Ukiona wanakwepa kwepa basi amini kuwa ni matapeli
 
Yaan usisubut ni wez wakubwa yaan usijarib ukitaka kushuhudia waambie nafunga safar nakuja kuchukua mwenyewe na ofisin zenu ziko wap uone watakavyokuchenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…