RANGI NYEUSI
CHOGO NDOGO
MODEL TYPE:CS-29Z50MH
TYOE: KS7C29Z50
(UNAWEZA KU GOOGLE/BING KUPATA MAELEZO NA PICHA ZAKE)
PICHA CHACHE NIMEATTACH
HAIJAWAHI KWENDA KWA FUNDI WALA KUFUNGULIWA
HAINA TATIZO LOLOTE
IMETUMIKA MWAKA 1
BEI 400,000TZS
KUIONA BURE! :A S 465:
0754964911
kaijage@live.com
Kwa nini unaiuza?nashindwa kuelewa umeletwa kutoka dubai Used,umekuja Tz umetumia sasa mzigo unauzwa kwa mtu mwingine baada ya mtumiaji kuuchoka.
Nawapenda sana wachina they are too cheap
Nimekuwa nikitaka kwenda kwenye ukubwa zaidi...just sold it added some few bucks n bought a 42" SERIES 6 samsung...
Thanks wadau
Asante hata mimi next time nitaagize ebay badala ya kununua hapa bongo!Kma hyo TV umeiuza kwa laki 4 kwel wewe mwanaume! Mm nisingeweza kulipa zaidi ya 2.8K, wallah! 4k UNAWEZA kupata LCD/LED ya ukubwa huo kutoka ebay!
Usichukulie personal mkuu.