Hi,
Nauza TV yangu SAMSUNG 29'' flat( ina kachogo kadogo sana) ,nilinunua nov 2009. Bei 500k(negotiable)
kama upo inetrested,
+255754964911
kaijage@live.com
Karibu
Mimi ningependa kujua ni kwanini unaiuza? Hiyo bei sio realistic maana kwa sasa unaweza kupata hiyo TV brand new kwa 480,000
pale mtaa wa Uhuru. Mimi nimenunua moja wikiendi iliyopita. Punguza bei kama uko serious.
Sio box la nyuki. Sio mtaalam sana katika Technologies za TV. I'll attach some photosMore data required: LCD, HD au "box la nyuki", je imezaliwa china /korea au arabuni? . Kama ni "box la nyuki" hiyo laki tano ni mbali sana rudi chini labda TZS 250,000.