Samsung wamezindua simu Galaxy S26 Series!

Vyote hivi wamecopy kwa Nokia lakini,

Kampuni zote za Kichina, Xiaomi, Huawei, kina Oppo etc Research centre zao zipo Finland, wanatumia wafanyakazi wa zamani wa Nokia Kutumia feature za zamani za pureview, ukiangalia lens Hadi kina Vivo wanatumia Zeiss.

Hata Ku wave nakumbuka Nokia N9 ilianzisha hizo gestures,
 
Nice to know. Sikujua kama features zote kwenye simu za China wamecopy kutoka kwa Nokia
 
Leo nimeona mwarabu fulani anauza bongo, na nimeona post yake tik tok
Inakuwa released march 11, ila kwa sasa unaweza kufanya pre order. Huyo anaeziuza sijui kazitoa wapi asee. Seran fanya follow up tusije lizwa asali wangu.
 
Simu toleo jipya si kuhusu ubora , bali ni hype tu. Tunakimbilia wazo la ‘mpya’ zaidi ya uhalisia wa simu yenyewe. Hyperreality imetupofuwa.
 
Kuna mtu humwambii kitu kuhusu S9,S10....ndio simu ya ndoto yake anayotamani aimiliki!

Kweli maisha hayako fair
 
Inakuwa released march 11, ila kwa sasa unaweza kufanya pre order. Huyo anaeziuza sijui kazitoa wapi asee. Seran fanya follow up tusije lizwa asali wangu.
Ukute mchina kashafanya yake😂 tusubiri tu hiyo march mi mambo ya cm ata sielewagi tusije lizwa bure😁
 
Ukute mchina kashafanya yake😂 tusubiri tu hiyo march mi mambo ya cm ata sielewagi tusije lizwa bure😁
Kama sikosei samsung hua wakizindua simu wanakua tayar washatoa mzigo kwa wale waliopreoder masaa machache tu baada ya uzinduzi mzigo uko sokoni. NAIONA PIA SOKO LA PINDOUDOU WASHAWEKA
 

Attachments

  • IMG_20260226_221953.jpg
    370.6 KB · Views: 27
Kama sikosei samsung hua wakizindua simu wanakua tayar washatoa mzigo kwa wale waliopreoder masaa machache tu baada ya uzinduzi mzigo uko sokoni. NAIONA PIA SOKO LA PINDOUDOU WASHAWEKA
Asante ngoja niitafute huko nione!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…