Samsung wamezindua simu tatu za Galaxy S25 series!

Samsung wamezindua simu tatu za Galaxy S25 series!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wapenzi na wadau wa Samsung.

Jana usiku Wakorea walitoa vitu vyao vutatu vya mwaka 2025, Samsung Galaxy S25, S25+ na S25 Ultra.
gsmarena_010.jpg

Ya kuongea ni machache kwasababu ni upgrade ndogo kutoka S24 series.
gsmarena_000.jpg

Samsung pia walituonesha Galaxy S25 Slim aka S25 Edge ambayo itazinduliwa hivi karibuni.
gsmarena_002.jpg


Kwakua upgrade ya S25 kutoka S24 ilikua ndogo, Samsung waliongelea sana AI na software issues katika event yao kuliko hardware upgrades.
 
Back
Top Bottom