Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐ฆ๐ฎ๐บ๐๐๐ป๐ด ๐๐ถ๐บ๐ฒ๐ฑ๐๐ธ๐๐น๐ถ๐๐ฎ
Watumiaji wa simu za Samsung Galaxy mifumo Yao imedukuliwa na kusababisha changamoto kwa watumiaji wake.
Processor ya Samsung Exynos imedukuliwa na wadukuzi na kuweka code zao ambazo zinaendesha mifumo ya Samsung kupitia jarida la Google security export ilisema.
Kirusi hicho kimeweka code artiarbitrcary code kwenye kamera za simu ya Samsung kupelekea simu kuganda, kuwa nzito kupelekea simu kupata sana joto. Ripoti ya Google experts imesema Ina Uwezo wa kubadili mifumo ya kamera na kuipa jina jingine.
Utakuta imeandikwa. "vendor.samsung.hardware.camera.provider@3.0-service'
๐ vifaa mbalimbali vya Samsung ambavyo vimeweza kuathilika ni kama vile ๐
โข Samsung Galaxy S10 series
โข Galaxy note 10 series
โข Galaxy A51 series na A71 series
โข pia Galaxy s20 series , Galaxy Note 20 series
โข Galaxy A21, Galaxy M13 na Galaxy M12.
Zenye processor zifuatazo ๐
Exynos processor kama vile 9820, 9825, 980, 990, 850 na W920 huku smartwatch zilizo athilika nj Galaxy watch 4, Galaxy watch 5 series na Galaxy watch FE ndixo zilizo athilika.
Samsung wamesema kampuni imewataka watumiaji wao wa simu zao waweze kufanya update ya simu zao ili kuwa salama zaidi.