Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Kwa pesa yake sidhani kama anaweza labda wanamtumia yeye kwa ajili ya promotion tu.
Kwa pesa yake sidhani kama anaweza labda wanamtumia yeye kwa ajili ya promotion tu.
Kwa pesa yake sidhani kama anaweza labda wanamtumia yeye kwa ajili ya promotion tu.
arifu dogo ameanza kulamba mkwanja mrefu long kitambo.....na kwa sasa ndio foootie bola anaelamba mkwanja mrefu kuliko woote duniani....Kwa pesa yake sidhani kama anaweza labda wanamtumia yeye kwa ajili ya promotion tu.
Sio benki tu......anaweza kwa pesa yake....analipwa paound zaidi ya laki 3 kwa week....na hicho ki mobile coy kinatumia yuro 152,000 kama mtaji ....anaweza na mabenki yamewekwa ya kazi gani mkuu..
mkuu napingana na wewe unajua huyu jamaa analipwa kiasi gani???Kwa pesa yake sidhani kama anaweza labda wanamtumia yeye kwa ajili ya promotion tu.
mkuu naona bado umelala kama picha yako ilivyojielezakwa pesa yake sidhani kama anaweza labda wanamtumia yeye kwa ajili ya promotion tu.