Samuel Eto'o kurudi kusoma Harvard University

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Samuel Eto'o Staa wa zamani wa vilabu vya Barcelona, Inter Milan na Chelsea, Samuel Eto'o baada ya kutangaza kustaafu kucheza soka mwezi Septemba amefichua mipango yake ya kwenda kusoma Harvad!
.
[emoji860] "Nataka kusaidia na kutoa mchango wangu mzuri kwa mabadiliko ya bara letu," Unapokuwa mchezaji wa mpira wa miguu, hunalipa watu ili wasimamie kazi yako na mambo yako kwa ujumla.

Lakini wakati unapofika ni zamu yako unataka kusimamia watu wengine na unataka kuwaendeleza, unahitaji kujifunza ujuzi mpya.

Mkongwe wa soka la Afrika ataanza masomo yake ya usimamizi wa biashara katika Shule ya Biashara ya Harvad (HavardBusinessSchool) Januari 2020.
 
Ina maana bongo yake iko njema kama Vincent Kompany
 
hehehehehe ufipa watapinga watasema etoo hana akili za kusoma havard ... et ooh atafeli tu muda utaongea πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
hehehehehe ufipa watapinga watasema etoo hana akili za kusoma havard ... et ooh atafeli tu muda utaongea πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

cv ya etoo ni kubwa kuliko maksi za darasani... havard nafasi atapata na atafaulu tu..

ana uwezo wa kuajiri hata private proffessor wa kumpuga tution kila somo after classes

hata George Weah amesoma sekondari na chuo kikuu marekani baada ya kustaafu mpira.. na sasa ni rais kwao
 

leo hamjapinga kitu
 
Uamuzi mzuri sana.
Mwenyezi Mungu amsimamie kwenye ndoto yake hiyo ili hatimaye arudi kutumikia bara lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…