Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Nadhani anachotaka kusema ni kuwa hakuna uwazi wakati wa majumuisho na hiyo inaweza ikakaribisha wizi wa kura.
Analenga kutetea vyama vya upinzani kwamba kura zao zinaibiwa .... nahasa analenga kura za urais!!

Labda tuanze na hili la tume huru.
Lakini suala la kuhesabu kura 'ugani' tutakuwa tunasikia visa vya kuchomana visu na kukatana mapanga kila leo.
Bado nina shaka kidogo.
Nimeskiza mahojiano ya kati ya watu wa radio one na Bwana Samuel Sitta.
Analalama utaratibu wa NEC wa kutaka "matokeo yajumuishwe kwenye majengo imara ya serikali". Anasema ndo chanzo cha ucheleweshaji matokeo. Anatoa ushauri kuwa kura zihesabiwe kwa mtindo wa kuweka uzio wa makuti, kuzungusha kamba, na kuweka askari kadhaa. Kuweka meza katikati, kumwaga kura juu ya hiyo meza na kuanza kuhesabu.
My take:
Sitta anataka kuturudisha enzi za mwaka 47. Tulishatoka huko. Majengo yanavamiwa na nguvu ya umma, sembuse makuti??