Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
- Thread starter
-
- #181
Wooooo[emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] i didnt knooo
Am sorry Tim choice
Kwaiyo hii ni mali mpya ya jirani??
[emoji57][emoji57][emoji57]Yaani kama ndio wifi ujiandae tu kisaikolojia, you wont be alone.
Mie mawifi zangu nawaambiaga ukweli tu.
Uuuwi!...π...maskini miye mtoto wa watu.
Haswaaaaa!Wooooo[emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] i didnt knooo
Am sorry Tim choice
Kwaiyo hii ni mali mpya ya jirani??
As long as daby yupo hapa itajaa zaidi ya ulivotaka
Jirani mimi hauniamini?Ata ww ndo mana huchezi mbali na haya maeneo
We na daby siwawezi sijui mmefikaje humu
Ntakuamini vp mana huko juu dada ako analalamika na wifi wengiiJirani mimi hauniamini?
Dada yangu anawivu sijui angekuwa mwanamme angekuwajeNtakuamini vp mana huko juu dada ako analalamika na wifi wengii
Mim usinifananishe na razor au mo max daby.Ntakuamini vp mana huko juu dada ako analalamika na wifi wengii
Mim usinifananishe na razor au mo max daby.Ntakuamini vp mana huko juu dada ako analalamika na wifi wengii
Wewe jamaa umeanza sio?Mim usinifananishe na razor au mo max daby.
Humu kila mtu anajua kuwa inna ni wa nani. Au ivuga yupo na nani.
Sasa kaukize kuhusu jiran yako ndio utajuata
Natanguliza shukrani kwenyu mashemeji wangu wabongo pamoja na wakenya ,nimeshukuru sana kwa mchango wenyu kwenye uzi huu wangu.
Ni nafuraha isiyo na kifani leo hii kwa kuliweka rekodi hili langu la binafsi
Namshukuru Daby kwa kunipa sapoti
Namshukuru pugu mdoli wangu kwa kunipa motisha
Namshukuru Mungu kwa afya na uhai
Namshukuru mwanzilishi wa JF Max Mello pamoja na wenzake kwa kuileta JF
Namshukuru yule mhuni aliyenitania kwa kunifumgua macho
Nawashukuru wabishi wa humu kwa kunipa nguvu za kuwajibu
Nawashukuru wabongo wote
Nawashukuru wakenya wote
Namshukuru Mwanasesere wangu
Namshukuru Bill Gates mwanzilishi wa Google
Namshukuru mwanzilishi wa lugha
Namshukuru mvumbuzi wa umeme
Namshukuru Inna
Namshukuru espy
Namshukuru Icono kwa ukakasi wake
Namshukuru saint Ivuga kwa kutia nanga kwenye uzi wangu
Naona nimehitimisha kurasa kumi.
Mungu awabariki sana
Daby Bongobaby keep it rolling,nashukuru sana.
Masalkheri!
Pamoja sana.Natanguliza shukrani kwenyu mashemeji wangu wabongo pamoja na wakenya ,nimeshukuru sana kwa mchango wenyu kwenye uzi huu wangu.
Ni nafuraha isiyo na kifani leo hii kwa kuliweka rekodi hili langu la binafsi
Namshukuru Daby kwa kunipa sapoti
Namshukuru pugu mdoli wangu kwa kunipa motisha
Namshukuru Mungu kwa afya na uhai
Namshukuru mwanzilishi wa JF Max Mello pamoja na wenzake kwa kuileta JF
Namshukuru yule mhuni aliyenitania kwa kunifumgua macho
Nawashukuru wabishi wa humu kwa kunipa nguvu za kuwajibu
Nawashukuru wabongo wote
Nawashukuru wakenya wote
Namshukuru Mwanasesere wangu
Namshukuru Bill Gates mwanzilishi wa Google
Namshukuru mwanzilishi wa lugha
Namshukuru mvumbuzi wa umeme
Namshukuru Inna kwa upole wake
Namshukuru espy kwa ukatili wake kwangu
Namshukuru Icono kwa ukakasi wake
Namshukuru saint Ivuga kwa kutia nanga kwenye uzi wangu
Naona nimehitimisha kurasa kumi.
Mungu awabariki sana
Daby Bongobaby keep it rolling,nashukuru sana.
Masalkheri!
Natanguliza shukrani kwenyu mashemeji wangu wabongo pamoja na wakenya ,nimeshukuru sana kwa mchango wenyu kwenye uzi huu wangu.
Ni nafuraha isiyo na kifani leo hii kwa kuliweka rekodi hili langu la binafsi
Namshukuru Daby kwa kunipa sapoti
Namshukuru pugu mdoli wangu kwa kunipa motisha
Namshukuru Mungu kwa afya na uhai
Namshukuru mwanzilishi wa JF Max Mello pamoja na wenzake kwa kuileta JF
Namshukuru yule mhuni aliyenitania kwa ukatili wake kwangu
Nawashukuru wabishi wa humu kwa kunipa nguvu za kuwajibu
Nawashukuru wabongo wote
Nawashukuru wakenya wote
Namshukuru Mwanasesere wangu
Namshukuru Bill Gates mwanzilishi wa Google
Namshukuru mwanzilishi wa lugha
Namshukuru mvumbuzi wa umeme
Namshukuru Inna kwa upole wake kwangu
Namshukuru espy kwa uwazi wake kwangu
Namshukuru Icono kwa ukakasi wake
Namshukuru saint Ivuga kwa kutia nanga kwenye uzi wangu
Naona nimehitimisha kurasa kumi.
Mungu awabariki sana
Daby Bongobaby keep it rolling,nashukuru sana.
Masalkheri!
Wewe jamaa ukinikasirisha tu namuita kasie uone balaa lakeWewe jamaa umeanza sio?
Haha. ..ila brother mbona unapenda kuchanganya habari lkn.Wewe jamaa ukinikasirisha tu namuita kasie uone balaa lake
Mimi nai ni mwenyeji sanaa.Haha. ..ila brother mbona unapenda kuchanganya habari lkn.
Ok tunaenda lini Nai?