samuel999 yupo wapi?

Inna usinifanyie hivyo. Ungejua nikihangaika sana kupata acces ya pm.
Nilijua tu nikimpa jirani yako # yangu asingeifikisha
 
Ye mwenyewe lazima ana stori ila kama msichana si ruhusa ku tell . Labda miss chagga na natafuta

Ndio wanayokujaga kuyafanya kwetu Engare Nyirobi, huku nyuma wanawadanganya wachumba wao eti semina,haki Daby husiwe wa hivyo, waTz hawachelewagi nakwambia..hhehehehah!
 
These guys they know each other.
Sasa mmoja kabambwa na stori ya aliyoyafanya huko Nairobi halafu Bibi hajui
Nashukuru tu hapa hujabadili maana
Kuna thread moja niliona ukalimani wako umepitiliza
 
Jamani imebakia tu kurasa moja, tupieni hata matukio ya bongo.
 
Inna , ujue tim ni mdada mali mpya ya jirani yako. Ohooo kumbe hujatambulishwa?
Wooooo[emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] i didnt knooo

Am sorry Tim choice

Kwaiyo hii ni mali mpya ya jirani??
 
Yaani kama ndio wifi ujiandae tu kisaikolojia, you wont be alone.
Mie mawifi zangu nawaambiaga ukweli tu.

Uuuwi!...πŸ˜€...maskini miye mtoto wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…