Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Mar 14, 2019 #1 Kama kichwa cha habari kilivyo hebu wadau wa soka fungukeni kuhusu miamba hao hapo juu na mchango wao kwenye soka la Africa na huko ulaya
Kama kichwa cha habari kilivyo hebu wadau wa soka fungukeni kuhusu miamba hao hapo juu na mchango wao kwenye soka la Africa na huko ulaya
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,292 Reaction score 7,867 Mar 14, 2019 #2 Samatta ndo balaa Barafu la moto
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,440 Reaction score 6,881 Mar 14, 2019 #3 Drogba nikikumbuka ile fainali chelsea na bayern,,,, drogba ni Legend usimfananishe na vitu vya kijinga..
Drogba nikikumbuka ile fainali chelsea na bayern,,,, drogba ni Legend usimfananishe na vitu vya kijinga..
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 12,444 Reaction score 18,741 Mar 14, 2019 #4 Kwangu etoo mkali
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Mar 14, 2019 #5 Sam Etoo Dunia nyingine
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Mar 14, 2019 #6 Dah best yangu Etoo siyo wa kufananisha na mvaa wigi.
Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,039 Reaction score 6,253 Mar 14, 2019 #7 Achana kabisa na Etoo akiwa katika ubora wake Pale Ronadinho huku Etoo, nyuma kidgo kuna Deco Deuza hatarii sana Sent using Jamii Forums mobile app
Achana kabisa na Etoo akiwa katika ubora wake Pale Ronadinho huku Etoo, nyuma kidgo kuna Deco Deuza hatarii sana Sent using Jamii Forums mobile app
choza choza JF-Expert Member Joined Jan 17, 2019 Posts 2,081 Reaction score 3,831 Mar 14, 2019 #8 Samuel Etoo Sent using Jamii Forums mobile app
logframe JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,242 Reaction score 5,543 Mar 14, 2019 #9 Mpaka sasa Eto'o hana mpinzani. Sent using Jamii Forums mobile app
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,884 Mar 14, 2019 #10 Eto'o Fiz
P Patroman JF-Expert Member Joined Nov 12, 2018 Posts 809 Reaction score 1,222 Mar 14, 2019 #11 Namkubali sana Drogba.
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Mar 14, 2019 #12 Etoo
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Mar 14, 2019 #13 BOB OS said: Drogba nikikumbuka ile fainali chelsea na bayern,,,, drogba ni Legend usimfananishe na vitu vya kijinga.. Click to expand... Hizo fainali unazoongelea Etoo kapiga zaidi ya tatu...
BOB OS said: Drogba nikikumbuka ile fainali chelsea na bayern,,,, drogba ni Legend usimfananishe na vitu vya kijinga.. Click to expand... Hizo fainali unazoongelea Etoo kapiga zaidi ya tatu...
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Mar 14, 2019 #14 Asee Etoo anatisha hata Herritier Makambo na Kagere wajipange kwa huyo jamaa.
Mtoto wa nzi JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 10,017 Reaction score 18,537 Mar 14, 2019 #15 Mkali Mbwa ,Simba ,Chui, Duma
moj6 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2017 Posts 3,354 Reaction score 4,985 Mar 14, 2019 #16 Japo mi ni mshabiki wa Chelsea but eto' nomaa Sent using Jamii Forums mobile app
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,627 Reaction score 38,689 Mar 14, 2019 #17 Yaya toure Sent using Jamii Forums mobile app
Raj kapool JF-Expert Member Joined Jun 29, 2018 Posts 1,352 Reaction score 2,160 Mar 14, 2019 #18 Drogba
magagafu JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 1,196 Reaction score 1,309 Mar 14, 2019 #19 Tuache ushabiki etoo alikua bora Sent using Jamii Forums mobile app
magagafu JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 1,196 Reaction score 1,309 Mar 14, 2019 #20 Drogba namkubali ni mpambanaji...lakin etoo alikua balaa.. Sent using Jamii Forums mobile app