Samweli sitta amsafisha lowasa

mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
288
Reaction score
128
Ule msemo wa kufa kufaana unajidhilisha LEO

Wengi wamepata kujua uchafu, hila Na njama pamoja Na usaliti wa huyu mzee
Alikua ana wasaliti ccm Na kuvujisha siri za utawala kwa vijana wa upinzani akina zito zuberi

Kifo chake kimeweka wazi majibu Na maswali ya watu kuhusu
RICHIMOND Na lowasa

Pia kinampa lowaza sifa ya uvumilivu wakina hadi LEO wanesema wenyewe.

Tumeweza kutambua kuwa kikwete si MTU wa kuaminika
Kwenye siasa anaweza kukuacha njiapanda

Viva babu
Samweli ,moja,mbili,tatu,nne,tano, si......
 
Anza kwanza kusoma alicho andika ulimwengu
Na zitto
Alufu uje usome nililicho andika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…