San Marino kibonde wa soka duniani

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
[emoji1208] Wanashika nafas ya 210 kwenye rank za FIFA

[emoji1208]ushindi wao mkubwa waliupata dhidi ya Liechtensteiner[emoji1150] mwaka 2004 (1-0)

[emoji1208]Kipigo kikubwa walikipata mbele ya Ujerumani[emoji629] mwaka 2006 (13-0)

[emoji1208] inatajwa kuwa ndio timu mbovu katika historia ya soka ikiwa imeshinda mechi moja tu kati ya michezo [emoji1624]160, huku wakiruhusu magoli 690[emoji460], huku wakifunga magoli 23 tu.

[emoji1208]uwanja wao wa nyumbani san marino stadium una uwezo wa kuchukua watazamaji 7000 tu, mwaka 2007 katika mechi dhidi ya Jamhuri ya Ireland watazamaji 2500 kati ya 3256 walikuwa ni wa Irish.

[emoji1208] wachezaji wengi ni amateur huku wakifanya kazi zingine nje na mpira, wachezaji wachache sana ni professional.

[emoji1208] katika historia yao wameshinda mechi moja tu dhidi ya Liechtenstein mwaka 2004 (1-0)

[emoji1208]Mwaka 2001 kocha wa Latvia alijiuzulu baada ya kushindwa kupata ushindi dhidi ya San Marino katika mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia 2002.

[emoji1208]wanashikilia rekodi ya kucheza game 20 bila ya kufunga goli kati ya 2008-2012.

[emoji1208]walipata bao la ugenini baada ya miaka 14 mwaka 2015 dhidi ya Lithuania

[emoji1208] nyongeza tu San Marino ina idadi kubwa ya Magari kuliko watu [emoji16][emoji16]


Hawa ndo majirani wa Italy [emoji16][emoji1492]
 
Inabidi wabongo wajitahidi kutembelea huko kuangalia fursa zaidi, tunashukuru kwa kutujulisha kuhusu San Marino
 
Iv msuva kashidwa kwenda kucheza soka uku taifa stars haimfungi uyu
 
Basi Belgium wakajiona miamba eti kisa wameifunga San Mario magoal tisa.
 
utashangaa wakicheza na Taifa stars wanatufunga
 
Mwaka 2001 kocha wa Latvia alijiuzulu
baada ya kushindwa kupata ushindi dhidi ya
San Marino katika mechi za kuwania kufuzu
kombe la dunia 2002.
 
Halafu utashangaa miaka kumi ijayo wanashiriki world cup sisi bado tupo hapahapa tunashangaashangaa

Si unaona wale andorra walikuwa wabovu kinyama yaani kama San Marino,wao walikuwa wanafungwa 6-0,8-0..lakini siku hizi wanakaza vibaya mno,wenzetu wana mipango
 
San moreno ni nchi ya kula bata rais wao anakaa madarakani miaka miwili tu hawana jeshi wala polisi lakini pia maisha yao ni ya watu wenyefuraha sana kwani wanaishi kama ndugu
 
Naskia Ushindi huo wa goli Moja walishangilia na siku iliyofata ikatangazwa kua HOLIDAY.
 
Haka ka nchi unaomba uraia tu alafu unakichafua haswaa hadi unakua Legends.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…