SANAA: Fahamu tafsiri zinazobebwa na Wanyama mbalimbali

SANAA: Fahamu tafsiri zinazobebwa na Wanyama mbalimbali

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Simba
c563g.png
Naashiria ukuu, nguvu, ujasiri, haki, na nguvu za kijeshi. Simba huonekana kama "MFALME wa Nyika," ni ishara ya nguvu na nguvu za kifalme. Kichwa cha Simba hutumika kuwakilisha ujasiri, nguvu na ubora.

Chui
uvyk.png

Anawakilisha nguvu, ujasiri, tamaa na ishara ya kutolewa kwa hofu na kusimama kwa ukweli, haki, na uadilifu.

Tembo
Green Inspirational Spring Quote Facebook Post.png
Huheshimiwa kama ishara ya bahati nzuri, mafanikio, mharibifu wa uovu, kuondoa vizuizi, nguvu, hekima, kumbukumbu, na uhai.
 
Upvote 2
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom