Hiyo ndiyo hali halisi ya sanaa ya bongo kwa sijui ni kwa sababu vyuma vimebana au vipi,jibu wanalo wao
wasanii wa bongo kwa sasa wale wenye majina wamebaki kupiga copy na kupaste mradi majina yao yabaki na mshiko uingie.
wasanii chipukizi pamoja kuumiza vichwa lakini bado juhudi zao hazionekani licha ya kukesha wakiumiza vichwa.
kiwanda cha habari bongo nacho kimebaki kuwapa kipaumbele sana wasanii wenye majina na wasio na majina wanaachwa wapambane na hali zao.
sa hivi ubunifu hauhitajiki sana na hiyo ndio hali halisi ya sanaa yetu.