Sanaa ya kustaajabisha

Sanaa ya kustaajabisha

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Tahadhari kuna picha za kuogofya

Najma Makena ni mwanamke wa Kisomali anayeishi Nairobi Kenya ambaye amekuwa akitengeza mapambo ya kuogofya tangu 2018.

Hatahivyo wengine wanaamini kutokana na imani yake, kazi yake ya mapambo ya kuogofya ni ya kishetani.

Hata hivyo hilo halijamzuia Najma ambaye ndoto yake ni kufanya kazi Hollywood.
 
Kivipi Mzee!
Kwa anachokifanya kwani si katika maumbile yake. Anaigiza ili kuionyesha jamii kuwa ni kipaji. Ila nikimtazama hana kipaji hicho kiroho. Ndio maana kuna wakati anajieleza eti ameshazoea sanaa ya picha ya kuogofwa hii inaonyesha hata yeye mwenyewe anatambua kuwa hii ni ya kuogofya. Waliozaliwa hivyo huwa hawajui kuwa hiyo ni yakuogofya kwake anaona ni kwaida tu. Kuonyesha kwake kuwa ni picha za kuogofya hii inamaanisha kuwa hata yeye roho yake inaogofya ila anafanya ili tu anaona ndio kitu itakayo mtoa katika maisha hii kiroho ni lazima itakuja kumsumbua sana baadae inaweza mpelekea hata kujiua
 
Nimewahi kuona scene za kizombi zikiwa zinaandaliwa huko Hollywood basi hua wanachorowa kama huyo dada anayochora hvy. hope wakimuona wanaweza kumchukua coz ni kumuendeleza kdg sn hapo
 
Kwa anachokifanya kwani si katika maumbile yake. Anaigiza ili kuionyesha jamii kuwa ni kipaji. Ila nikimtazama hana kipaji hicho kiroho. Ndio maana kuna wakati anajieleza eti ameshazoea sanaa ya picha ya kuogofwa hii inaonyesha hata yeye mwenyewe anatambua kuwa hii ni ya kuogofya. Waliozaliwa hivyo huwa hawajui kuwa hiyo ni yakuogofya kwake anaona ni kwaida tu. Kuonyesha kwake kuwa ni picha za kuogofya hii inamaanisha kuwa hata yeye roho yake inaogofya ila anafanya ili tu anaona ndio kitu itakayo mtoa katika maisha hii kiroho ni lazima itakuja kumsumbua sana baadae inaweza mpelekea hata kujiua
Hivi kwa nin waswahili huwa tunajikuta tunayajua sana mambo ya kiroho kuliko waliotuletea!?
 
Tahadhari kuna picha za kuogofya

Najma Makena ni mwanamke wa Kisomali anayeishi Nairobi Kenya ambaye amekuwa akitengeza mapambo ya kuogofya tangu 2018.

Hatahivyo wengine wanaamini kutokana na imani yake, kazi yake ya mapambo ya kuogofya ni ya kishetani.

Hata hivyo hilo halijamzuia Najma ambaye ndoto yake ni kufanya kazi Hollywood.
View attachment 1633778
Mkuu mbona sijaona kitu cha ajabu nimeona vitu vya kawaida ambavyo bado haviko vizuri kumshawishi mtu kuwa anachokiona ni cha kweli.
unaikumbuka hii picha ilikuwa viral watu wakiamini ni marmaid kumbe ni artist kamtemtengeneza kwa ajiliya photoshoot. Ukitazamana unaona kama kitu cha ukweli mkuu.
mar.jpg
 
Back
Top Bottom