Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Itakuja kumghalimu katika maisha yake tena sana tu
Kaka hapo na mawazo yako wakati mwenzako anatengeneza hela.Itakuja kumghalimu katika maisha yake tena sana tu
Kwa anachokifanya kwani si katika maumbile yake. Anaigiza ili kuionyesha jamii kuwa ni kipaji. Ila nikimtazama hana kipaji hicho kiroho. Ndio maana kuna wakati anajieleza eti ameshazoea sanaa ya picha ya kuogofwa hii inaonyesha hata yeye mwenyewe anatambua kuwa hii ni ya kuogofya. Waliozaliwa hivyo huwa hawajui kuwa hiyo ni yakuogofya kwake anaona ni kwaida tu. Kuonyesha kwake kuwa ni picha za kuogofya hii inamaanisha kuwa hata yeye roho yake inaogofya ila anafanya ili tu anaona ndio kitu itakayo mtoa katika maisha hii kiroho ni lazima itakuja kumsumbua sana baadae inaweza mpelekea hata kujiuaKivipi Mzee!
Hivi kwa nin waswahili huwa tunajikuta tunayajua sana mambo ya kiroho kuliko waliotuletea!?Kwa anachokifanya kwani si katika maumbile yake. Anaigiza ili kuionyesha jamii kuwa ni kipaji. Ila nikimtazama hana kipaji hicho kiroho. Ndio maana kuna wakati anajieleza eti ameshazoea sanaa ya picha ya kuogofwa hii inaonyesha hata yeye mwenyewe anatambua kuwa hii ni ya kuogofya. Waliozaliwa hivyo huwa hawajui kuwa hiyo ni yakuogofya kwake anaona ni kwaida tu. Kuonyesha kwake kuwa ni picha za kuogofya hii inamaanisha kuwa hata yeye roho yake inaogofya ila anafanya ili tu anaona ndio kitu itakayo mtoa katika maisha hii kiroho ni lazima itakuja kumsumbua sana baadae inaweza mpelekea hata kujiua
Itakuja kumghalimu katika maisha yake tena sana tu
Mkuu mbona sijaona kitu cha ajabu nimeona vitu vya kawaida ambavyo bado haviko vizuri kumshawishi mtu kuwa anachokiona ni cha kweli.Tahadhari kuna picha za kuogofya
Najma Makena ni mwanamke wa Kisomali anayeishi Nairobi Kenya ambaye amekuwa akitengeza mapambo ya kuogofya tangu 2018.
Hatahivyo wengine wanaamini kutokana na imani yake, kazi yake ya mapambo ya kuogofya ni ya kishetani.
Hata hivyo hilo halijamzuia Najma ambaye ndoto yake ni kufanya kazi Hollywood.
View attachment 1633778