Sanamu la mchezaji messi lazinduliwa kolkata

Wamelenga zaidi kwenye issue ya utalii,
Bila shaka watalii wengi wataenda kutembelea hapo.
 
Wamelenga zaidi kwenye issue ya utalii,
Bila shaka watalii wengi wataenda kutembelea hapo.
Vibaya sana na hiyo tour yake serikali imepiga Hela haswaa Kwa wananchi

Nilikuwa Nina fuatilia YouTube Jana sio poa

Ukiachailia mbali kupiga Hela Kwa wananchi hata live stream za mitandaoni wamepiga sana pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…